BALOZI MULAMULA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA PAKISTAN
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) amesaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Pakistan hapa nchini kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Pakistan Hayati...
View ArticleFINLAND YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAENDELEO, UTAWALA BORA NA UHURU WA HABARI
Na Mwandishi wetu, DarNchi ya Finland imeipongeza Tanzania kwa hatua mpya za kimaendeleo katika nyanja za ushirikishwaji wa sekta binafsi, uhuru wa vyombo vya habari,utawala bora na haki za binadamu...
View ArticleWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI BALOZI LIBERATA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Mabadiliko Ulimwenguni (Tony Blair Institute...
View ArticleBALOZI MULAMULA AMUAGA BALOZI WA INDIA
Na mwandishi wetu, DarWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) amemuaga Balozi wa India hapa nchini, Mhe. Sanjiv Kohli ambaye amemaliza muda wake wa...
View ArticleSERIKALI YAWATOA HOFU MABALOZI KUHUSU MAPAMBANO YA UVIKO 19
Na Mwandishi wetu, DarSerikali imewaeleza Mabalozi njia mbalimbali inazozitumia kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona ikiwa ni pamoja na kuridhia uingizwaji wa chanjo ya Uviko 19 kwa Balozi,...
View ArticleAWLN, TAASISI YA MWALIMU NYERERE ZAPEWA CHANGAMOTO YA KUSIMAMIA AMANI AFRIKA
Na Mwandishi wetu, DarMtandao wa Uongozi wa Wanawake Afrika (AWLN) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mwalimu Nyerere umepewa changamoto ya kukuza na kusimamia masuala ya umoja na amani katika Bara la...
View ArticleWAZIRI MULAMULA AMUAGA BALOZI WA UHOLANZI
Na mwandishi wetu, DarWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) amemuaga Balozi wa Uholanzi nchini, Mhe. Jeroen Verheul ambaye amemaliza muda wake wa...
View ArticleDKT MWINYI ATOA MAELEKEZO KWA WIZARA YA MAMBO YA NJE
Na Mwandishi wetu, Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kipaumbele cha Serikali yake hususani katika sekta ya mafuta na gesi,Utalii,Uvuvi...
View ArticleSERIKALI YA ZANZIBAR YAAPA KUULINDA MUUNGANO
Na Mwandishi wetu, ZanzibarSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuulinda Muungano kwa kuwa ndio tunu kubwa ambayo imeachwa na waasisi wa Muungano huo na kwamba Serikali haitotumia...
View ArticleBALOZI MULAMULA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE MAREKANI
Na Mwandishi wetu, DarWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani...
View ArticleBALOZI MULAMULA: ZIARA YA RAIS SAMIA RWANDA IMEIMARISHA UHUSIANO WA KIDIPLOMASIA
Na Mwandishi wetu, DarWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amesema moja ya mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
View ArticleWATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA NJE YA NCHI
Na Mwandishi wetu, DarWatanzania wamepewa changamoto ya kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi zinazopatikana Nje ya Nchi ili waweze kuinua uchumi wao pamoja na uchumi wa Taifa kwa ujumla.Changamoto...
View ArticleBALOZI MULAMULA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA QATAR
Na Mwandishi wetu, DarWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Hussain Ahmad Al...
View ArticleWAZIRI MULAMULA AMUAGA BALOZI WA OMAN
Na Mwandishi wetu, DarWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) amemuaga Balozi wa Oman nchini, Mhe. Ally Abdallah Almahruqi katika ambaye amemaliza...
View ArticleTANZANIA YASAINI MKATABA WA UANZISHWAJI WA TAASISI YA UDHIBITI WA DAWA YA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dkt. Monica Nsanzabaganwa wakionesha mkataba wa...
View ArticleRAIS WA ETHIOPIA MHE. SAHLE - WORK ZEWDE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI...
Rais wa Ethiopia Mhe. Sahle – Work Zewde akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula(Mb).Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi za...
View ArticleTANZANIA KUJIPANGA KUNUNUA DOZI MILIONI 17 ZA UVIKO - 19 ILIZOTENGEWA NA...
Umoja wa Afrika umeitengea Tanzania dozi milioni 17 za chanjo za UVIKO- 19 kupitia mpango wa Umoja huo wa kuzisaidia Nchi wanachama kupata chanjo kwa ajili ya Wananchi wake. Waziri wa Mambo ya Nje na...
View ArticleBALOZI AGNES KAYOLA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE KIKAO CHA KAMATI YA...
Mratibu Mkuu wa Kitaifa wa masuala ya SADC na Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kikanda Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Agnes Kayola akifuatilia majadiliano katika...
View ArticleISRAEL YAKOSHWA NA VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA
Na Waandishi wetu, ArushaMamia ya watalii kutoka Israel waendelea kuja nchini kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii licha ya changamoto ya Ugonjwa wa UVIKO-19 ambao umeikumba dunia hivi sasa.Kuja...
View ArticleMKUTANO WA NNE WA TUME YA PAMOJA YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA KENYA...
Mkutano wa Nne wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya umeanza kufanyika leo tarehe 19 Agosti 2021 Jijini Nairobi, Kenya. Mkutano huu utakaofanyika kwa kipindi cha siku sita kuanzia...
View Article