Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mawaziri wa EAC wawasilisha maamuzi ya Wakuu wa Nchi kwa Rais wa Burundi

  Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb), akiwasilisha kwa Rais wa Burundi, Mhe. Pierre...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi wazidi kumiminika Banda la Mambo ya Nje Maonesho ya Wiki ya Utumishi...

Afisa kutoka Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar, Bi. Asiya Hamdani akitoa maelezo  kuhusu majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  kwa Wananchi waliokuja kutembelea Banda la Wizara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Mulamula akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Denmark nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Balozi Liberata Mulamula (kulia) akizungumza na Balozi wa Denmark nchini, Mhe. Johnny Flento alipokuja kumtembelea na kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Mwakilishi wa UNFPA nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Mwakilishi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa unaoshughulikia Idadi ya Watu (UNFPA) hapa nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Press Release

Hon. Adel Al Jubeir, Minister of  Foreign Affairs of Saudi ArabiaPRESS RELEASEHon. Bernard K. Membe (MP), Minister of Foreign Affairs and International Cooperation of the United Republic of Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania na India zinaweza kufanya vizuri zaidi kibiashara. Rais Kikwete

Na Ally Kondo, DelhiRais Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa licha ya biashara kati ya Tanzania na India kuongezeka katika miaka ya hivi karibuni, bado kuna nafasi ya kufanya vizuri zaidi endapo fursa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberatta Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini Bw. Sana F.K. Jatta, alipokuja kumtembelea na kujadili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Mulamula azungumza na Balozi wa Ufaransa nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak, alipokuja kujitambulisha na kumpongeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Banda la Wizara ya Mambo ya Nje lazidi kung'ara kwenye maonesho ya Utumishi...

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bw. Mkumbwa Ally akizungumzia ushiriki wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwenye maonyesho ya ya Wiki ya Utumishi wa Umma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

India yaipa Tanzania mkopo wa Dola Mil. 268 kwa ajili ya mradi wa maji katika...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa ameshikilia cheti kwa pamoja na Mwenyekiti wa Makampuni ya Kamal, Bw. Gagan Gupta. Bw. Gupta ni mfanyabiashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Mulamula akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Msumbiji nchini

Katibu Mkuu wa  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini, Mhe. Vicente Veloso  alipofika Wizarani kwa ajili ya kuzungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mara ya kwanza na Watumishi wote wa...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Libarata Mulamula akizungumza katika kikao chake cha kwanza na Watumishi wote wa Wizara tangu alipoteuliwa na Rais hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ifanyeni Tanzania kuwa chaguo la kwanza katika uwekezaji, Rais Kikwete

Rais wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa katika mazungumzo na Wakuu wa Makampuni makubwa ya India hawapo pichani. Aliwahimiza kuchangamkia fursa za uwekezaji nchini Tanzania....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete aongea na Watanzania wanaoishi India

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Watanznia wanaoishi India katika Hotel ya Taj Palace jijini Delhi. Rais Kikwete aliwaeleza mambo ya maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya nne ikiwemo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu Kiongozi atembelea Banda la Mambo ya Nje kwenye Wiki ya Utumishi...

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushiriano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akimkaribisha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue kwenye Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Simba apongezwa na iliyokuwa Idara yake kwa kuteuliwa kuwa Naibu...

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Bw. Elibariki Maleko katika hafla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu Balozi Mulamula, Balozi Manongi na Balozi Gamaha wang'ara Nishani...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula  Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza. Hafla hiyo ilifanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete atumia fursa ya maadhimishi ya Miaka Miwili ya Papa Francis kuwa...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa Hotuba yake kwenye maadhimisho ya Siku ya kitaifa ya Taifa la Vatican pamoja na kuadhimisha miaka miwili ya Baba Mtakatifu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haule alipofika Kujitambulisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Press release

H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a condolences message to H. H. Sheikh Sabah Al Ahmad Al Sabah, Amir of the State of Kuwait following the tragedy death...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>