Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

President Kikwete bids farewell to SADC during the 35th Summit of Heads of State

Hon. Mizengo Pinda delivering President Kikwete's Farewell Remarks during the 35th Summit of SADC Heads of State and Government in Gaborone, Botswana.A section of Heads of State listening to Hon....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umoja wa Mataifa waanza maadhimisho ya miaka 70 kwa kupanda miti Hifadhi ya...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira,  Mhe. Binilith Mahenge  akiwahutubia wananchi (hawapo pichani) kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matukio mbalimbali yaendelea kuelekea maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa...

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy (kushoto) kwa pamoja na  Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EAC Diasporian in the U.S. salutes Ambassador Mulamula and the EAC...

The EAC Trio-Sister AmbassadorsPosted on August 19, 2015 by glouisgThe EAC Trio-Sister AmbassadorsAmbassador Liberata Mulamula poses with US President Barack ObamaIn the world of diplomacy, honesty is...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi wa India na Denmark

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Denmark nchini Mhe. Einar Hebogard Jensen, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Tarehe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete amuapisha Balozi mpya wa Tanzania Nchini Zimbabwe.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika tarehe 21-08-2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete ashiriki hafla ya chakula cha jioni kuhitimisha Kongamano la...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Watanzania waishio Ughaibuni (Diaspora) hawapo pichani wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu akutana na Mwakilishi Maalum wa Marekani Eneo la Maziwa Makuu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Libarata Mulamula akizungumza na Mwakilishi Maalum wa Marekani katika eneo la Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR), Mhe. Thomas...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi mteule wa Switzerland awasilisha nakala za Hati za Utambulisho

 Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe (Mb), akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Florence Tinguely...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Algeria nchini.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimkaribisha Wizarani Balozi wa Algeria nchini, Mhe. Saad Belabeb alipofika kwa ajili ya kuzungumzia masuala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu na Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Uturuki wasaini mkataba

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Libarata Mulamula kwa pamoja na  Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Uturuki, Bw. Ziya  Karaham (kushoto) wakisaini mkataba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Japan

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Libarata Mulamula akizungumza na Balozi wa Japan nchini, Mhe. Masaharu Yoshida. Mazungumzo hayo yalijikita katika Mkutano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umoja wa Ulaya kuleta Waangalizi kwenye Uchaguzi Mkuu Tanzania.

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkoa wa Kigoma kunufaika na Umeme wa nishati ya jua wa MW 5

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula  akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya NextGen Solawazi Ltd ya kutoka Marekani, Bw....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Mulamula, awaaga Mabalozi wa Misri na Uturuki.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, akimkabidhi zawadi Balozi wa Uturuki anayemaliza muda wake hapa nchini, Mhe. Ali Dovutoglu, wakati wa hafla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Mambo ya Nje yashiriki kusafisha Soko la Temeke kuadhimisha miaka...

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sofia Mjema akitoa hotuba yake kwenye maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini yaliyoambatana na usafishaji wa soko la Temeke Sterio lililopo Jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashehe waliotekwa nchini DRC waachiwa huru

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya kuachiwa huru kwa Mashekhe waliotekwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania na Vietnam washerehekea miaka 50 ya ushirikiano wa kidiplomasia

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Mizengo Pinda akizungumza katika hafla ya maadhimisho ya Miaka 50 ya Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Tanzania na Vietnam. Katika hotuba yake Mhe....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diaspora wahimizwa kuchocheas Maendeleo, Balozi Mulamula

Watanzania wanaoishi ughaibuni (diaspora) wametakiwa kuwa kichocheo cha kuleta maendeleo ya biashara na uwekezaji katika nchi yao ili kuongeza pato la taifa na kuboresha maisha ya mwananchi wa kawaida....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wajasiliamali wahimizwa kutumia internet kutangaza biashara zao

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Zanzibar, Bw. Salim Maulidi Salim akimkabidhi picha ya mlango wa asili ya Zanzibar, Mwenyekiti wa Watanzania wanaoishi jijini Birmingham, Bw. Prince Kateka II ikiwa ni ishara...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>