TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Safari za Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete Nje ya NchiWizara imesikitishwa na taarifa za uongo zilitolewa katika vyombo vya habari kuwa Mhe. Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleBalozi wa Uswisi nchini amtembelea Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, akimkaribisha Balozi wa Uswisi hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli ofisini kwake kwa mazungumzo ya...
View ArticleBalozi Mulamula aongoza maadhimisho Siku ya Kimataifa ya Amani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza wakati akifungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Amani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa...
View ArticleKatibu Mkuu akutana kwa mazungumzo na Naibu Mwangalizi Mkuu wa Uchaguzi...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimsikiliza Naibu Mwangalizi Mkuu wa Uchaguzi kutoka Jumuiya ya Ulaya (EU), Bi.Tania Marques alipokuja...
View ArticleBALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS ICELAND ATEMBELEA...
Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic na Baltiki, Mhe. Dora Msechu akiwa na na Rais wa Iceland (HOM Iceland) baada ya kuwasilisha hati za utambulisho.Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic na...
View ArticleMkurugenzi wa Mashariki ya Kati azungumza na Balozi wa UAE nchini
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Abdallah Kilima (kulia) akimsikiliza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdulla Ibrahim Ghanim Alsuwaidi (kushoto) alipokuja kujitambulisha...
View ArticleTanzania yapongezwa kwa uongozi bora wa Kikundi Kazi cha Mawaziri Jumuiya ya...
Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola ukiendelea pembezoni mwa Mkutano wa 70 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Jijini New York, Marekani.Sekretarieti ya Nchi...
View ArticlePRESS RELEASE
H.R.H Salman bin Abdulaziz Al Saud, King of Saudi ArabiaPRESS RELEASEH.E. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a condolence message to H.R.H. Salman bin...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITaarifa kuhusu Mahujaji kutoka Tanzania waliofariki na kujeruhiwa huko Saudi ArabiaWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea kwa mshtuko na masikitiko...
View ArticleJK katika Mkutano wa 70 wa Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani, Leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa 70 wa Umoja wa Maiataifa akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na ushurikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Waziri wa Waziri wa Maendeleo...
View ArticleTanzania yafaulu kupata bilioni 992.8 za MCC
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na Bi. Dana Hyde, Mtendaji Mkuu wa MCC mara baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika kwenye Hoteli ya Marriot Jijini New...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITaarifa zaidi kuhusu Mahujaji kutoka Tanzania waliofariki na kujeruhiwa huko Saudi ArabiaWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kupitia Ubalozi wake mjini...
View ArticleForeign Permanent Secretary Discusses Climate Change with The Elders
Ambassador Liberata Mulamula and the group of Elders and other envitees in a group photos after discussions on Climate Change held at the W Hotel in New York City.Sitted with Ambassador Mulamula is Gro...
View ArticleRais Kikwete atangaza agenda ya Wanawake kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake huku wajumbe wengine wakisikiliza wakiwemo Mhe. Sofia Simba (Mb.), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto(wa pili kulia). Rais Jakaya Kikwete...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uturuki nchini
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb) akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Yasemine Eralp ambaye alifika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo ya...
View ArticlePresident Kikwete Addresses the United Nations General Assembly
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania Addresses the 70th Session of the United Nations General Assembly Tuesday September 29, 2015, United Nations, New...
View ArticleTaarifa kwa Vyombo vya Habari
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA Simu:255-22-2114615, 211906-12Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi:...
View ArticleTanzania yazindua rasmi Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro Rodriguez, akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya...
View ArticleMkurugenzi wa Asia na Australasia na Balozi wa India wajadili maandalizi ya...
Mkurugenzi wa Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa India nchini, Mhe. Sandeep Arya....
View ArticleTaarifa kwa Vyombo vya Habari
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA Simu:255-22-2114615, 211906-12Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi:...
View Article