Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Press Release

H.E Park Geun-hye, President of the Republic of KoreaPRESS RELEASEH.E. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to H.E. PARK Geun-hye,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu Nje azungumza na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania NY

Balozi Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania Jijini New York,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Marmo Afanya ziara ya Kikazi Mjini Hamburg

Mhe. Philip S. Marmo,Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani (Kushoto) akiwa kwenye kikao na Mhe.Wolfgang Schmidt, Naibu Waziri anaye shughulikia masuala ya Umoja wa Ulaya na Mambo ya Nje wa jimbo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA Simu:255-22-2114615, 211906-12Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tz     Nukushi:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais aongoza waombolezaji kifo cha kaka wa Waziri Membe

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili nyumbani kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA Simu:255-22-2114615, 211906-12Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete apokea hati za utambulisho wa Mabalozi

Balozi mteule wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Felix Costales akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete  Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 7,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kaimu Katibu Mkuu azungumza na waandishi wa Habari kuhusu Wiki ya Umoja wa...

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Simba Yahaya (wa pili kutoka kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya miaka 70 ya...

View Article


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Taarifa zaidi ya Mahujaji kutoka Tanzania huko Saudi ArabiaIdadi ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha katika tukio la kukanyagana lililotokea eneo la Mina, Makkah tarehe 24 Septemba, 2015...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Mulamula atembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington DC

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC mara baada ya kuwasili UbaloziniKatibu Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete azindua Kiwanda cha Saruji kikubwa Afrika Mashariki na Kati.

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha Saruji kikubwa Afrika Mashariki na Kati cha Dangote Industries Limited...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Silaha za maangamizi zisiishie mikononi mwa makundi ya kihalifu –Tanzania

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzani katika Umoja wa Mataifa,  Balozi Tuvako Manongi, akichangia majadiliano kuhusu upokonyaji wa silaha na usalama wa kimataifa  mwishoni mwa wiki, ambapo ametoa wito wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Mstaafu Mkapa aongoza maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa.

 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin William Mkapa, akizungumza kwenye Kongamano la Vijana kuadhimisha miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Kongamano hilo  lilifanyika leo tarehe 12-10-2015 katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REMARKS BY H.E. BENJAMIN WILLIAM MKAPA, FORMER PRESIDENT OF THE UNITED...

Hon. Bernard Membe, Minister for Foreign Affairs and International Cooperation,Amb. Liberata Mulamula, Permanent Secretary, Ministry of Foreign Affairs, Your Excellency Juma-Alfani Mpango, Dean of...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNDP Yatoa Msaada kwa Wizara ya Mambo ya Nje.

 Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa, Bw. Alvaro Rodrigues (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mtendaji wa SADC amtembelea Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje.

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimkaribisha Katibu Mtendaji wa SADC, Bi. Stergomena Tax, ofisini kwake kwa mazungumzo kuhusu ujio wa timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REMARKS BY H.E. BENJAMIN WILLIAM MKAPA, FORMER PRESIDENT OF THE UNITED...

Former President Benjamin Mkapa delivering his remarksTHEME   THE UN AT 70: HOW PEACEFUL AND SECURE ISOUR WORLD TODAY?A birthday is normally an occasion for celebration. This is also the time for the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STATEMENT BY HONOURABLE BERNARD K. MEMBE (MP) MINISTER FOR FOREIGN AFFAIRS...

Guest of Honor and Minister for Foreign Affairs and International Cooperation Hon. Bernard K. Membe delivering his statement of the day.STATEMENT BY HONOURABLE BERNARD K. MEMBE (MP)MINISTER FOR FOREIGN...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Membe aongoza Siku ya Kilele cha Umoja wa Mataifa.

Mgeni Rasmi wa siku ya kilele cha maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa,Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Kamillius Membe (Mb.), akitoa hotuba baada ya kupandishwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Taarifa zaidi kuhusu Mahujaji kutoka Tanzania waliofariki na kujeruhiwa huko Saudi ArabiaMahujaji wengine wanane kutoka Tanzania ambao walikuwa hawaonekani tokea ajali ya kukanyagana kwa mahujaji...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>