Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia afanya ziara nchini Tanzania

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Mhe. Dkt. Mario Giro ambaye yupo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda afanya mazungumzo na Balozi wa...

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Innocent Shiyo akizungumza na Balozi wa Namibia nchini Mhe....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga akutana na Viongozi Wakuu wa Mahakama ya MICT

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Rais wa  Mahakama ya Kimataifa ya Masalia ya kesi za Mauaji ya Kimbari ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi...

Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Balozi Augustine Mahiga (kulia) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Czech, Mhe....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais afungua rasmi Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Oman

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba ya ufunguzi rasmi wa Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Oman lililofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Rais apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi wa Brazil, Czech na Sudan...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Brazil nchini, Mhe. Carlos Alfonso Iglesias Puente. Hafla hiyo fupi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga na Balozi Mark Childress wa Marekani wafanya mazungumzo

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ziara ya Mhe. Salva Kiir, Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Tarehe 15 Aprili 2016Mhe. Salva Kiir Mayardit, Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini atafanya ziara ya kikazi ya siku moja nchini Tanzania tarehe 15...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje azungumza na Waandishi wa Habari

Bi. Mindi Kasiga, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje wakutana na Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiwasilisha Taarifa ya Wizara kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyabiashara kutoka nchini Oman wafanya ziara mkoani Tanga

                Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maabara za Vetenari Tanzania "TVLA" Dkt. Furaha Mramba akiwakaribisha baadhi ya wafanyabiashara kutoka nchini Oman waliopo nchini kwa ziara ya siku tatu (3)...

View Article

COMMUNIQUÉ ON THE SIGNING CEREMONY OF ACCESSION OF S. SUDAN INTO EAC

EAST AFRICAN COMMUNITYCOMMUNIQUÉ ON THE SIGNING CEREMONY OF THE TREATY OF ACCESSION OF THE REPUBLIC OF SOUTH SUDAN INTO THE EAST AFRICAN COMMUNITYSTATE HOUSE, DAR ES SALAAM, TANZANIA15TH APRIL, 2016EAC...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sudan Kusini Mwanachama rasmi wa EAC baada ya kusaini mkataba

Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akisaini Mkataba wa Kuiwezesha Sudan Kusini kuwa Mwanachama Kamili wa Jumuiya ya Afrika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga akutana na Mjumbe Maalum wa Haki za Binadamu wa Australia

 Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi  Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akimkaribisha Mhe. Philip Ruddock, Mjumbe Maalum wa Haki za Binadamu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali ya Brazil kufadhili miradi ya kilimo Mkoani Simiyu

 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony J. Mtaka kulia akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Brazil nchini Mhe. Carlos Alfonso Iglesia Puente, mazungumzo ambayo yalifanyika leo katika Ofisi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Mambo ya Nje yafanya mkutano na Vyombo vya Habari

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo...

View Article

Taarifa kwa Umma

TAARIFA KWA UMMA Sekretariati ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imetangaza nafasi mbalimbali 16 za ajira kupitia tangazo lao lililotolewa tarehe 16 Aprili, 2016 Kumb. Na. SADC/2/3/3/3...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kikao cha Mwaka cha Menejimenti ya Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika cha UNICEF jijini Dar es Salaam (25 – 29 Aprili 2016)Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufunguzi wa Kikao cha 14 cha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano baina ya...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Rwanda Balozi Jeanine Kambanda akifungua Kikao cha 14 cha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano baina ya Tanzania na Rwanda katika Hoteli ya Lake Kivu Serena...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: TUME YA KUDUMU YA PAMOJA YA USHIRIKIANO...

Kikao cha Kumi na Nne cha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano baina ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda, 29 Aprili – 1 Mei, 2016Gisenyi RWANDAKikao cha Tume ya Pamoja ya Kudumu...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live