Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga akutana na Waziri wa Biashara za Kimataifa na Maendeleo wa Finland

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Waziri wa Biashara za Kimataifa na Maendeleo wa Finland, Mhe. Kai Mykkanen alipomtembelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga azungumza na Wadau wa Maendeleo kutoka nchi za Nordic na Ujumbe...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akifafanua jambo kwenye Mkutano na Wadau wa Maendeleo kutoka nchi za Nordic uliofanyika katika Ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga akutana na Balozi wa Algeria nchini Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akimsikiliza Balozi wa Algeria nchini Tanzania Mhe. Saad Belabed katika mazungumzo yaliyofanyika Wizarani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MABALOZI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI Simu:255-22-2114615, 211906-12Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti :...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mhiga asaini Mkataba na Serikali ya China

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China  nchini Tanzania Mhe. Dkt. Lu Youqing wakisaini Mkatababa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.  Dkt. Augustine Mahiga amefanya mazungumzo na waandishi wa  habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini katika Ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga ampokea Mjumbe Maalum kutoka Senegal

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (kulia), akipokea Ujumbe Maalum kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Hassan azindua majengo ya Umoja wa Mataifa (MICT)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Taasisi mpya ya kimataifa MICT ambayo imechukua majukumu ya iliyokuwa Mahakama ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Hassan azindua majengo ya Umoja wa Mataifa (MICT)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Taasisi mpya ya kimataifa MICT(Mechanism for International Criminal Tribunals) ambayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

  ZIARA YA KIKAZI NCHINI TANZANIA YA MHE. IDRISS DEBY ITNO, RAIS WA JAMHURI YA CHAD NA MWENYEKITI WA UMOJA WA AFRIKA TAREHE 27-28 NOVEMBA, 2016Mheshimiwa Idriss Deby Itno, Rais wa Jamhuri ya Chad na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Lungu awasili Tanzania kwa ziara ya Siku tatu

Rais wa Jamhuri ya Zambia, Mhe. Edgar Lungu (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli ampokea Rais wa Zambia Ikulu, Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu alipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mara baada ya mapokezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli amwandalia Rais Lungu dhifa ya Kitaifa Ikulu, Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Mhe. Edgar Lungu wakielekea sehemu maalumu ilipoandaliwa dhifa ya kitaifaWaheshimiwa wa Marais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOINT COMMUNIQUE ISSUED AFTER THE STATE VISIT OF PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF...

JOINT COMMUNIQUE ISSUED BY HIS EXCELLENCY DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND HIS EXCELLENCY EDGAR CHAGWA LUNGU, PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF ZAMBIA, ON THE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Lungu atembelea Bandari ya Dar es Salaam na Kampuni ya Zamcargo

Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwe Lungu akiangalia mfumo wa kielektroniki  (haupo pichani) wa kuharakisha ukaguzi wa mizigo katika bandari ya Dare es Salaam alipotembelea bandari hiyo. Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli amuaga Rais Lungu wa Zambia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amembatana na mgeni wake Rais wa Zambia, Mhe. Edgar Lungu wakiangalia ngoma ya asili wakati akimuaga baada ya kumaliza ziara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Kolimba atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba, ambaye yuko Nairobi kuhudhuria kikao cha Bunge la Afrika Mashariki, ametumia fursa hiyo kutembelea Ubalozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Msechu apokea picha ya kuchora ya Rais Magufuli

Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mhe. Dora Msechu amepokea picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kutoka kwa Msanii Mchoraji, Bw....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga akutana na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga akifafanua jambo kwa Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Mhe. Song Geum-Young wakati wa mazungumzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga asaini kitabu cha maombolezo ya Rais Mstaafu wa Cuba Fidel Castro

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi wa Cuba nchini Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo alipowasili nyumbani kwa Balozi huyo mapema...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>