Waziri Membe aongoza Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri wa EAC
Waziri wa Mambo wa Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
View ArticleRais Kikwete aongoza Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa EAC uliofanyika Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya hiyo...
View ArticleWaziri Membe afungua Mkutano wa Tisa wa Baraza la Wafanyakazi Wizara ya Mambo...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akifungua Mkutano wa Tisa wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo. Mkutano huo ulifanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa...
View ArticleRais wa Msumbiji kufanya ziara ya kitaifa nchini
Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 17 Mei, 2015 kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu nchini kwa...
View ArticleRais wa Msumbiji awasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Mhe. FilipeJacinto Nyusi mara baada ya kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
View ArticlePress Release
H.M King Harald V of NorwayPRESS RELEASEH.E President Jakaya Mrisho Kikwete of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to H.M. King Harald V of Norway on the occasion to...
View ArticleRais wa Msumbiji atembelea Chuo cha Diplomasia, afungua Kongamano la...
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akiwajadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia (CFR), Balozi Mwanaidi Maajar huku Mkuu...
View ArticleRais wa Msumbiji awasili Zanzibar.
Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam,ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini...
View ArticleRais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi lihutubia Bunge la Jamhuri ya...
Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza na pia anakuwa Rais wa kwanza wa Msumbiji kulihutubia Bunge la Tanzania. Katika...
View ArticleTanzania kukuza Ushirikiano na Indonesia
Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia Balozi Mbelwa Kairuki akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari na Diplomasia kwa Umma kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ndonesia Balozi Esti Andayane,...
View ArticleArticle 14
Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki (Kulia) akimkaribisha na kufanya mzazungumzo na Mkurugenzi wa Kitengo cha...
View ArticleMkutano wa Nne wa Mabalozi kujadili mchango wa Diplomasia ya Tanzania...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) na Katibu Mkuu...
View ArticleMkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa EAC kuhusu Burundi kufanyika mwishoni...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo tarehe 25 Mei, 2015 kuhusu Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA NNE WA MABALOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa Nne wa Mabalozi wa Tanzania nje ya nchi. Mkutano huo umefanyika katika Hoteli ya Ramada...
View ArticleWatumishi Wizara ya Mambo ya Nje wawapokea kwa shangwe Katibu Mkuu mpya na...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akikabidhiwa ua na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu Bi Amisa Mwakawago...
View ArticleRais Kikwete awaapisha Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Balozi Liberata Mulamula kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Balozi Mulamula anakuwa...
View ArticleKaimu Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kikanda akutana Ujumbe wa EU hapa nchini
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Innocent Shiyo (kulia) akizungumza na Naibu Balozi wa Ujerumani hapa nchini Bw. John...
View ArticleBunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) akisoma Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake Bungeni mjini Dodoma jana tarehe 29 Mei 2015.Kutoka kushoto mstari wa mbele ni...
View ArticleBunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) akisoma Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake Bungeni mjini Dodoma jana tarehe 29 Mei 2015.Kutoka kushoto mstari wa mbele ni...
View Article