PRESS RELEASE
H.E. Ram Baran Yadav, President of NepalPRESS RELEASEH.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a condolence message to H.E. Ram Baran Yadav, President of the...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA Simu:255-22-2114615, 211906-12Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi:...
View ArticleMkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC waanza jijini Harare
Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe, Mhe, Simbarashe Mumbengegwi akifungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) unaojadili Mkakati na Mwongozo wa...
View ArticleWaziri Membe amuenzi Marehemu Brigedia Generali Hashim Mbita
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Bregedia Generali Hashim Mbita, kilichotokea hivi karibuni katika...
View ArticleWaziri Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Japan hapa nchini Mhe.Masaharu Yoshida. Hafla hiyo fupi...
View ArticleRais Kikwete amkaribisha Rais Clinton (Mstaafu) Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameambatana na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Bill Clinton mara baada ya kuwasili Ikulu, na kufanya mazungumzo naye. Kushoto ni...
View ArticleAfrika yamuaga Marehemu Brigedia Generali Hashim Mbita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mama Salma Kikwete, Waziri wa Ulinzi, Mhe. Hussein Mwinyi (wa tatu kushoto), Mkuu wa Majeshi, Generali Davis...
View ArticleSADC Heads Of State adopt Industrilization Strategy
President of Zimbabwe and Chairman of Southern Africa Development Community (SADC), H.E Robert Mugabe delivers an opening speech at the SADC Extra Ordinary Summit of Heads of State and Government in...
View ArticleSADC Stops for Mbita
President of Zimbabwe and Chairman of Southern African Development Community (SADC), H.E Robert Mugabe (C) here looks sad following the death of Brigadier Hashim Mbita. President Mugabe before, He led...
View ArticleZimbabwe yaipa majengo SADC kwa ajili ya Kituo cha Kufundishia Walinda Amani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal (kulia) akishuhudia Rais wa Zimbabwe akikabidhi majengo kwa ajili ya mafunzo ya ulinzi wa amani kwa Katibu Mtendaji wa...
View ArticleMkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa azungumza na Mabalozi wa EU, Ujerumani...
Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini, Mhe. Filberto Ceriani Sebregondi (mwenye tai nyeusi) akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje Ushirikiano wa...
View ArticleStop Flocking in South Africa, President Mugabe
Heads of State and government of the Southern African Development Community (SADC), meeting in Harare, Zimbabwe yesterday condemned the recent attacks against African migrants in parts of Durban and...
View ArticleBalozi Njoolay akabidhi barua ya pongezi kwa Rais Mteule wa Nigeria Generali...
Balozi wa Tanzania, Nchini Nigeria Mhe. Daniel Ole Njoolay, alimkabidhi Rais Mteule wa Nigeria Generali Mstaafu Muhammadu Buhari, barua ya pongezi toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
View ArticleUbalozi wa Tanzania nchini Malaysia washerehekea Miaka 51 ya Muungano
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Aziz Ponary Mlima akiwa na mkewe Mama Mkola Mlima pamoja na Wafanyakazi wa Ubalozi wakiwapokea wageni waalikwa kwenye maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano...
View ArticleWaziri Membe afanya Mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akisalimiana naWaziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Mhe. Laurent Kavakure walipokutana kwa chakula cha mchana na kufanya...
View ArticleTaarifa kwa Vyombo vya Habari
Simu: 255-22-2114615, 211906-12Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600 20 KIVUKONI FRONT, P.O. BOX 9000,...
View ArticleBalozi wa Uholanzi atembelea Wizara ya Mambo ya Nje.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb) kulia akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jaap Fredriks ofisini kwake leo....
View ArticleMwakilishi Mkazi wa UNDP atembelea Wizara ya Mambo ya Nje
Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Celestine Mushy akimkabidhi kitabu kinachozungumzia Hifadhi za Taifa zilizopo nchini Tanzania Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na...
View ArticleWaziri Membe aongoza Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
Mhe. Pierre Nkurunziza, Rais wa Jamhuri ya Burundi akisalimiana na kumkaribisha Ikulu Mhe. Bernard K. Membe, Wazairi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na kiongozi wa mazungumzo maalaum baina...
View Article