Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya Sheria na Kinga ya Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki yakusanya...

Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Sheria na Kinga ya Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe mara baada ya mkutano wa kukusanya maoni ya wadau kuhusu  Mswada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga azungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Mkutano wa dharura wa EAC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Dkt Augustine Mahiga (Mb) akiongea katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Museveni awasili nchini kuhudhuria Mkutano Dharaura wa EAC

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpokea Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyereretayari kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa 17 wa Dharula wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika Mkutano wa 17 wa Viongozi Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Press Release

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO (COMMUNIQUE); Mkutano wa Dharula wa 17 wa Viongozi Wakuu wa Nchi wa...

COMMUNIQUE: 17TH EXTRA-ORDINARY SUMMIT OF HEADs OF STATE OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY1. THE EAST AFRICAN COMMUNITY HEADS OF STATE, THEIR EXCELLENCIES PRESIDENT DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI OF THE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Mambo ya Nje yachangia waathirika wa tetemeko Mkoani Kagera

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akipokea mfano wa hundi ya Shilingi milioni 10 kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (katikati) ikiwa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli amuapisha Balozi Dkt. Ramadhani Dau

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Ramadhani Dau kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Ikulu jijini Dar es Salaam.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje afungua Kongamano la Kimataifa la Chama cha...

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan A. Kolimba (katikati) pamoja na meza kuu wakitoa heshima wakati Wimbo wa Taifa ukiimbwa kwenye ufunguzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Mambo ya Nje yaratibu matembezi ya hisani kuchangia waathirika wa...

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga akizungumza kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari. Katika mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga apokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uingereza Mhe. Sarah Cooke na kufanya mazungumzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje apokea Nakala za Utambulisho za Balozi Mteule wa...

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Sudan nchini, Mhe.Mahjoub Ahmed Abdallah...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje awapokea madereva waliokuwa wametekwa nchini DRC

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Susan Kolimba (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuwapokea Madereva kumi (10) waliokuwa wametekwa nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkurugenzi wa Afrika akutana na Mabalozi wa Afrika nchini kuzungumzia...

Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samuel Shelukindo (kushoto) akizungumza katika kikao na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi za Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAN KI MOON AISIHI TANZANIA ISICHOKE KUZISAIDIA NCHI ZENYE MIGOGORO

Katibu Mkuu Ban Ki Moon alipomkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk. Augutine Mahiga ambaye anamwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa 71 wa Baraza Kuu la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa kwa vyombo vya habari

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara yashiriki maadhimisho ya 86 ya Ufalme wa Saudii Arabia

Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Maafisa wa Ubalozi wa Saudi Arabia nchini waliojitokeza kumpokea wakati wa hafla ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YATAKA USHIRIKIANO KATIKA VITA DHIDI YA RUSHWA NA UKWEPAJI KODI

Tanzania imeeleza kwamba juhudi za serikali ya awamuya Tano za kukabiliana na  vitendo vya rushwa  hazitawezakufanikiwa kama havita ungwa mkono na  jumuiya ya kimataita.Ni kwa sababu hiyo, Tanzania,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje apokea msaada kutoka Burundi kusaidia waathirika...

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akipokea msaada wa chakula kutoka kwa Mhe. Leontine Nzeyimana, Waziri wa Afrika Mashariki wa Burundi ikiwa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA MSAADA WA TSH.MILIONI 545 KUTOKA SERIKALI YA INDIA...

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya mara baada ya kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi za Kitanzania milioni 545 Ikulu jijini Dar es Salaam...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>