Waziri Mahiga apokea Nakala za Utambulisho za Balozi Mteule wa Ireland nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akiwa amepokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Ireland nchini, Mhe.Paul Sherlock....
View ArticleWaziri Mahiga akutana na Wawakilishi kutoka Taasisi ya Bill na Melinda ya...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Mwakilishi kutoka Taasisi ya Bill na Belinda Gates ya Marekani, Bi. Rosita Najmi. Katika mazungumzo yao...
View ArticleWaziri Mahiga akutana na Waziri wa Mambo ya Nje mstaafu wa China
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li...
View ArticleNaibu Waziri apokea hati za uwakilishi za Makonseli kutoka China na India...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na UShirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Susan Kolimba (Mb.) akipokea Hati ya Uwakilishi kutoka kwa Konseli Mkuu kutoka Jamhuri ya Watu wa China, Bw. Xie Xiaow Visiwani...
View ArticleVikao vya Maandalizi ya Kongamano la tatu la Diaspora vyaendelea Jijini Dar...
Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi, Anisa Mbega (katikati) akiongoza kikao cha maandilizi ya Kongamano la tatu la Diaspora...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Kassim atembelea Kiwanda cha kushona nguo cha Tooku
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agosti 10,...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Kiwanda cha kushona nguo cha Tooku
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agosti 10,...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Kiwanda cha kushona nguo cha Tooku
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo...
View ArticleBALOZI HAULE AAGWA NAIROBI
Mhe. Haule akiongea wakati wa hafla ya kumuaga jana. Kushoto ni mkewe Mary.Mhe. Balozi Haule (aliyeketi katikati) katika picha ya pamoja na Maofisa Ubalozi. Kushoto ni Mama Mary Haule na Kulia ni Mkuu...
View ArticleWaziri Mahiga azungumza na Waandishi wa Habari
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye Mkutano uliofanyika Wizarani Jijini Dar...
View ArticleMsemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa...
Msemaji na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga akizungumza na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa China nchini, Bw. Zhang Biao...
View ArticleWaziri Mahiga azungumza na Waandishi wa Habari
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Mkutano wa 18 wa Kamati ya Mawaziri...
View ArticleWaziri Mahiga aomboleza kifo cha Hayati Aboud Jumbe Mwinyi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa Jamhuri...
View ArticleWAHESHIMIWA MABALOZI WASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO
Mwakilishi wa Ubalozi wa Finland Nchini Bw. Simo-Pekla Perviainen (aliyeketi) akisaini Kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleWaziri Mahiga apokea hati za utambulisho za Mwakilishi mpya wa WFP nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi mpya wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) hapa nchini,...
View ArticleKatibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana na Mkurugenzi wa Kampuni ya SMH RAIL ya...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi, Dkt. Aziz Mlima (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Masoko wa SMH RAIL Bw. S. Rajamohan ya Malaysia alipomtembelea...
View ArticleWaziri Mahiga akutana na Balozi wa Israel nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Balozi wa Israel nchini Mhe. Yahel Vilan alipomtembelea katika ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam...
View ArticleWaziri Mahiga akutana na Balozi wa China nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Balozi wa China nchini, Mhe. Lu Youqing alipomtembelea katika ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam...
View ArticleMkutano wa tano wa Bunge la tatu la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuanza...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI Simu:255-22 211906-12, 2126827 Fax: +255-22 2116600, 2120488/2126651Barua pepe:gcu@nje.go.tzBarua Pepe:...
View ArticleWanawake wa Mambo ya Nje wamuaga Balozi Mulamula
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Susan Kolimba akiongea na Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Nje walioshiriki katika kikao cha kumuaga Balozi Liberata...
View Article