Tanzania kufungua Ubalozi nchini Kuwait
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Mhe. Skeikh Sabah Al-Khalid Al-Sabah, Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait....
View ArticleMapokezi ya Waziri Membe nchini Kuwait katika Picha
Mhe. Bernard Membe akiwasili hotelini nchini Kuwait kwa ziara ya siku moja ambapo atakutana na kufanya mzaungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait na Mkurugenzi Mkuu wa Kuwait Fund. Aliyeongozana...
View ArticleMkutano wa Waziri Membe na viongozi wa Kuwait Fund nchini Kuwait katika picha
Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa akisalimiana na Mhe. Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait mara baada kuwasili ofisini kwake kwa...
View ArticleWaziri Membe awasili Nchini Kuwait
Mhe. Bernard Membe akiwasili hotelini nchini Kuwait kwa ziara ya siku moja ambapo atakutana na kufanya mzaungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait na Mkurugenzi Mkuu wa Kuwait Fund.Mhe. Membe ujumbe...
View ArticleSerikali kuwarudisha nchini Watanzania waliopo Yemen
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwasili katika Hoteli ya Hyatt ya mjini Muscat, Oman mara baada ya kuwasili nchini humo kwa ajili ya kuanza ziara ya...
View ArticleWaziri Membe akabidhi Ujumbe Maalum wa Mhe. Rais kwenda kwa Sultani wa Oman
Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania akimkabidhi Mhe. Yousuf bin Alawi bin Abdulla, Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Ujumbe Maalum kutoka kwa Mhe. Jakaya...
View ArticleWaziri Membe: Hakuna Mtanzania katika mauaji ya Wageni Afrika Kusini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Benard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari nchini kuhusiana machafuko yanayoendelea nchini Afrika ya Kusini.Mkuu wa Kitengo cha...
View ArticleTanzania yashiriki mkutano wa ushirikiano wa Afrika na Asia unaofanyika...
Mhe. Dkt. Mary M. Nagu (Mb) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Uratibu na Mahusiano akichangia hoja katika moja ya mijadala kwenye Mkutano wa Kuadhimisha miaka 60 ya Ushirikiano kati ya Bara la Asia na...
View ArticleWatanzania 18 warejeshwa nchini kutokea Yemen
Kiongozi wa Msafara wa Watanzania waliorejeshwa nchini kutokea Yemen Bw. Abdul Twahid Said akizungumza na Waandishi wa Habari kwa niaba ya wenzake mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleZiara ya Mhe. Membe Kuwait katika Picha
Msafara wa Mhe. Membe ukiingingia Mjini Kuwait kwa ziara ya siku moja kwa mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait.Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwasili...
View ArticleWaziri Membe azungumza na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa UN eneo la Maziwa Makuu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akizungumza na Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu, Bw. Said Djinnit...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje amuaga Mwakilishi wa FAO nchini
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akimkaribisha Mwakilishi wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (F.A.O) nchini Bi. Diana E. Tempelman...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na CEO wa Standard...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akimkaribisha Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini Bi. Liz Lloyd alipomtembelea Wizarani kwa...
View ArticleWaziri Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka Mabalozi Wateule wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb), akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Yuri Fedorovich Popov.Waziri wa...
View ArticleMembe awahimiza Watanzania kuchangamkia fursa Comoro
Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania akihutubia Kongomano la Biashara baina ya Tanzania na Comoro jijini Moroni Alhamis tarehe 23 Aprili 2015Membe...
View ArticleMkutano wa Wakuu wa Nchi wa Ushirikiano kati ya Asia na Afrika wamalizika...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Uratibu na Mahusiano, Mhe. Dkt. Mary Nagu akihutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Ushirikiano kati ya Asia na Afrika uliofanyika mjini Jakarta, Indonesia tarehe...
View ArticleWaziri Membe akutana na Rais wa Comoro, ahudhuria hafla ya Muungano Moroni
Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania akiwa kwenye mazungumzo na Dkt. Ikililou Dhoinine, Rais wa Visiwa vya Komoro, alipomtembelea Ikulu nchini...
View Article